Kwahiyo dawa ya kusumbiliwa ni ndoa???
wanawake tuna mbinu, ccm cha mtoto
namie nisumbueni jamani, nisumbueni please....nakaribisha usumbufu
Salaam wakuu
Mie jinsia ni ME, Nimedumu na mpnz wangu ss mwaka wa tatu, tuliahidiana mwaka juz tulipokua tunaenda vyuoni kwamba tukimalza tutaoana
Yeye kwa sasa kaajiliwa bt mm nimedisco, ila bado cjamwambia ukweli wa matokeo yangu,
uyu mchumba wangu anaharaka sn yakuolewa coz anasumbuliwa sn kazin kwake coz nimzuri anamsimamo na niwife material nzuri sn, kavumilia huu ss mwaka wa tatu anahitaji mm ndo niwe mme wake wa maisha, na kusema kweli ANANIPENDA
Ndan ya miaka mi3 yote cjawai kutana na material ilioendana namm karbia kila kitu kama uyu dada, na sitak kumpoteza coz naic nikimuacha sitaoa tena bt bint anataka kuolewa ndan ya mwaka huu au ujao cz anasumbuliwa sn
Sikupanga kuoa kabla cjajiimarisha kiuchumi japo nyumban uchumi ukovizuri2 nimepanga mwakani ni apply upya chuo,Wakuu naombeni ushauri, sitaki kumpoteza uyu bint nampenda vilivo, nifanyeje????
Salaam wakuu
Mie jinsia ni ME, Nimedumu na mpnz wangu ss mwaka wa tatu, tuliahidianaj mwaka juz tulipokua tunaenda vyuoni kwamba tukimalza tutaoana
Yeye kwa sasa kaajiliwa bt mm nimedisco, ila bado cjamwambia ukweli wa matokeo yangu,
uyu mchumba wangu anaharaka sn yakuolewa coz anasumbuliwa sn kazin kwake coz nimzuri anamsimamo na niwife material nzuri sn, kavumilia huu ss mwaka wa tatu anahitaji mm ndo niwe mme wake wa maisha, na kusema kweli ANANIPENDA
Ndan ya miaka mi3 yote cjawai kutana na material ilioendana namm karbia kila kitu kama uyu dada, na sitak kumpoteza coz naic nikimuacha sitaoa tena bt bint anataka kuolewa ndan ya mwaka huu au ujao cz anasumbuliwa sn
Sikupanga kuoa kabla cjajiimarisha kiuchumi japo nyumban uchumi ukovizuri2 nimepanga mwakani ni apply upya chuo,Wakuu naombeni ushauri, sitaki kumpoteza uyu bint nampenda vilivo, nifanyeje????
uyu mchumba wangu anaharaka sn yakuolewa coz anasumbuliwa sn kazin kwake coz nimzuri anamsimamo na niwife material nzuri sn...
bint anataka kuolewa ndan ya mwaka huu au ujao cz anasumbuliwa sn
Kwahiyo dawa ya kusumbiliwa ni ndoa???
wanawake tuna mbinu, ccm cha mtoto
namie nisumbueni jamani, nisumbueni please....nakaribisha usumbufu
Kwahiyo dawa ya kusumbiliwa ni ndoa???
wanawake tuna mbinu, ccm cha mtoto
namie nisumbueni jamani, nisumbueni please....nakaribisha usumbufu
Kwahiyo dawa ya kusumbiliwa ni ndoa???
wanawake tuna mbinu, ccm cha mtoto
namie nisumbueni jamani, nisumbueni please....nakaribisha usumbufu
Hapana anapata vishawishi sn nakukatishwa tamaa na wenzake kuusu mapnz ya mbali coz yuko mkoa tofaut namm, so anahic anaweza muacha wakat wowte akaaibika kwa msimamo wake kwangu
wambie wa kazini kwenu
Kwahiyo dawa ya kusumbiliwa ni ndoa???
wanawake tuna mbinu, ccm cha mtoto
namie nisumbueni jamani, nisumbueni please....nakaribisha usumbufu
Ha ha ha yeah nakaribisha usumbufuHahahaaaaaaa
...umenichekesha sana mkuu, eti unataka usumbufu???ππ
Vipi mwandiko wangu mbaya????