Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
- Thread starter
-
- #21
Mtoto wako au wenu?Umchukue umpeleke wapi?Kwanza ulitoa mahari kwa mama wa mtoto?Mtunze akiwa kwa mama yake.
Amchukue ampleke nyumban kwao mm wangu nilimchukua nilimpeleka kwa bibi yake likizo tu anaenda kusalimia mamake koz ashaolewa hko.Mtoto wako au wenu?Umchukue umpeleke wapi?Kwanza ulitoa mahari kwa mama wa mtoto?Mtunze akiwa kwa mama yake.
Hapo pazito sawa mkuu endelea.Nmeshatoa muda na bahati mbaya wazazi wa mwanamke wanamuunga mkono mtoto wao.
Mie binafsi kumuacha mtoto nafsi inakataa kabsa na pia kadiri anavyoendelea kuwepo kule anamezeshwa sumu na mbaya zaidi mtoto anakaa na wazazi wa mamake na c yeye mwenyew kama hawezi kukaa nae kwann hataki kumuachia????
Maliza kujibu maswali yote niliyokuuliza.Sawa mtoto ni wetu lakini kwann niwekewe vikwazo hata vya kumchukua mtoto wakat wa likizo?
Mbna shule namlipia ada hilo nalo hawalitambui????
Nimesisimka kwa busu lako.
Ugomvi wa wazazi mtoto/watoto hawahusiki.. Kila mzazi ana haki ya kumuona/kuwaona watoto kwa mujibu wa sheria za haki za binadamu na haki za mtotoMkuu mshana we acha tu,kila nikitaka kuachana nalo nafsi yangu inasita japo nina kijana mwingine.
Mie naona hakuna namna isipokuwa kwenda katika vyombo vya sheria ingawa ckutaka kabsa kufikia huko
Kwa bibi yake?Hivi mama zetu wakizeeka ndiyo wanageuka kuwa walinzi wa watoto wetu?Yeye na aliyezaa naye wakae chini wayajenge.Siyo kutwisha wengine mizigo ya matunda ya umalaya wenu.Beba mtoto huyo peleka kwa bibi yake.
Ndugu cjawahi kuwa na mahusiano na mwanamke jeuri kama huyo,mtoto nimekuwa nikimsomesha private miaka minne sasa,lakini mama yake anajifanya kutoelewa chochote
Amchukue ampleke nyumban kwao mm wangu nilimchukua nilimpeleka kwa bibi yake likizo tu anaenda kusalimia mamake koz ashaolewa hko.
Atakuja kuelewa baadae. Usiache kumsomeshaNdugu cjawahi kuwa na mahusiano na mwanamke jeuri kama huyo,mtoto nimekuwa nikimsomesha private miaka minne sasa,lakini mama yake anajifanya kutoelewa chochote
Anza kuwa karibu na mtoto, muoneshe upendo mtoto tena uwe extra, usitume kitu Cha mtoto kwa mama kabla haujaongea na mtoto, na uwe unamwambia vitu ulivyotuma.Wakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita.
Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8,nahitaji kumchukua mwanangu nikae nae,naomba msaada wa kisheria tafadhal.
Ndo ushauri wako huu? Wewe utakuwa single mother. Piga ua. Kataa ukataavyo. Huu mwandiko na Makasiriko wewe ni single mother.Unaangaika🙄
Pole sana
Mwanamke mjeuri
Mama mtoto mjeuri
Mtoto.......
Mungu akusaidie
Wewe ni single mother mwingine....🤣🤣🤣🤣 Nawahesabu tu. Nyie huwa mnataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi... Baba yake anataka akae naye amtunze mwenyewe. Si umwachie. Ukikaa naye usidai pesa ya matumizi...🤣🤣🤣🤣🤣Mtoto wako au wenu?Umchukue umpeleke wapi?Kwanza ulitoa mahari kwa mama wa mtoto?Mtunze akiwa kwa mama yake.
Anza kuwa karibu na mtoto, muoneshe upendo mtoto tena uwe extra, usitume kitu Cha mtoto kwa mama kabla haujaongea na mtoto, na uwe unamwambia vitu ulivyotuma
Mimi ni baba yako ngedere weye.Unamwaga mbegu hovyo hujui kuoa?Wewe ni single mother mwingine....🤣🤣🤣🤣 Nawahesabu tu. Nyie huwa mnataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi... Baba yake anataka akae naye amtunze mwenyewe. Si umwachie. Ukikaa naye usidai pesa ya matumizi...🤣🤣🤣🤣🤣
Usikute alikua hahudumii piaHamna maelewano mazuri hadi utumie sheria?
Ukute unafanya tu hivyo ili kumkomoa mama mtoto, mwache mtoto aendelee kukua...jenga nae ukaribu kwanza.
Mama D,ahsante japo cjapoa unajua wanawake hulaumu sana wanaume lakin jaman wapo baadhi ya wanawake mhhh
Hadi kufikia hapo inaonesha una matatizo.Unakuja kujiliza JF wakati hutaki kuzikubali changamoto zako.Kaa chini utulie na kujiuliza wapi unakwama?Tatizo unataka kutuaminisha mama wa mtoto ndiye mkorofi.Tatizo mtoto anakaa na wazazi wa mwanamke na mara kadhaa nikitaka kuongea nae wanasema mara hayupo mpaka kuna cku niliongea nae akasema baba mie hata ckujui nikamuuliza nani kakwambia hayo akasema kaniambia Mama.
Kwa kweli nilijickia vbaya sana