ethicx
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 311
- 127
Habari zenu wana JF, nahitaji kujua zaidi kuhusu https na ssl na nini athari za https kutotumika kwenye website. Nahitaji maelezo mazuri kwa anefaham teknolojia hii. Kwa mtu akinielewesha kwa kiswahili nitafurahi zaidi.:nod:
angalizo: usiweke maelezo kutoka wikipedia plz.
angalizo: usiweke maelezo kutoka wikipedia plz.