Nahitaji kujua Series gani Kali ya kucheki wikiend hii?

Nahitaji kujua Series gani Kali ya kucheki wikiend hii?

IMG_4042.jpg

Unaweza kicheki hata na familia
 
Japo ni cartoon lakini unaweza kucheka sana jinsi vituko wakosoaji maisha yalivo unaweza kuona kama ni kitoto lakini wachana ukweli
IMG_4043.jpg



Hii inaeleza maisha ya kweli kabisa la kini kwa mtindo wa cartoon
IMG_4044.jpg
 
Wakuu naomba msaada wa kupata jina la series kali ya kucheki weekend hii. Mimi ni mpenzi wa series za Kijasusi, Lovestory pia ila iwe Kali sana.

Mfano wa Series ambazo tayari nilizitazama na kuzipenda sana ni

1. Iris
2. Prison Break
3. Game of throne
4. The Last Kingdom
5. The Hundred
6. The Oval
7. If Loving you is Wrong
8. Little Liars
9. 24 Hrs
10. Athena
11. The 100
12. All American
13. Homeland
14. Condo
15. Breaking Bad
16. Gangs of London
17. Money Heist

Wakuu, naomba kupata Majina ya series Kali kama hizo, aina ya series ambazo mtu unaamka hata usiku wa manane kuicheki. Upo Kazini lakini muda wote unaiwaza hiyo series.
Chek arsene lupin
 
Katika series ambayo nimeshindwa kuendelea ni ya kijinga sana maana ina kwenda na matukio kila linapo tokea ni family guy ilianzishwa 1999- mpaka leo inaendelea
IMG_4050.jpg
 
mwenzio kigwangala anaangalia the blacklist sasa, tangia akose kazi ni mwendo wa series tuu.
Hahah hata Mimi Mkuu nilitegemea kuomba Kazi ya Ukatibu Mkuu lakini kabla sijatuma maombi naona Bashiru kateuliwa
 
Back
Top Bottom