Nahitaji kujua majalala yanayotambuliwa na serikali kwa Dar es salaam

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,603
Habarini wakuu,

Kwa mwenye data za uhakika, ningeomba kupatiwa idadi ya majalala yaliyopo katika jiji la Dar es salaam ambayo yanatambuliwa na serikali. Ikiwezekana nipate pia mgawanyiko ki wilaya.

Ntashukuru sana kwa atayefanikisha.
 
Back
Top Bottom