Nahitaji kujua Machimbo ya maduka ya network device & accessories

de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
737
Reaction score
760
Wadau habarini,napenda kufahamu na kuyajua maduka hapa Dar es salaam yanayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya mtandao kwa bei ya jumla au reja reja

Vifaa hivyo ni kama vile
1. Cisco router & switch
2. d link router & switch
3. Tronic trunck
4. Utp cable

Na vingine vingi vinavyohusika na ku establish LAN
 

Vifaa vingi vya high end network huwa vinapatikana kwenye makampuni ambayo hayana maduka. Kampuni kama vile za ISP.
 
Kvd Makunganya Mjini, ms Meghji, Wapo Capricon etc. Wote Hao google chukua namba zao wapigie ulizia unachotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…