Hi Wadau,
Natarajia kwenda Dumila kikazi, sasa nauliza.. Nisaidieni hotel ambayo naweza kufikia, hotel ambayo ni standard, safe- no vibaka, huduma nzuri kwa wateja na bei zake. Pia kama kuna umbali ni kiasi gani toka stand hadi hiyo hotel.
Wazoefu please nisaidieni.
Asanteni