Sifa za kujiunga na chadema:
1.uwe msharishari
2.uwe tayari kuandamana bila hata ya kuuliza sababu
3.husiwe unafikiri mambo kwa kina
4.ucthubutu kuhoji kauli au vitendo vinavyofanywa na viongozi wa juu
5.adui yako mkubwa ni CCM
6.uwe mentally blind
7.sapoti kila kitu unachoambiwa na viongozi wako
8.ni marufuku kukubali kushindwa kwa hali yyt ile..!
To be continued
umekaribia kufa wewe c bure,kamuone kinana na atakupa dili la kuua tembo,na ckuhizi tembo wanajilinda kazi kwako.
Huo ni uamzi sahihi kabisa hakuna chama kingine kam ccm.
Habari na Hoja Mchanganyiko. Acha kujitoa akilihapa ni jukwaa gani?
Ccm ndo chama halisi cha siasa na hvo vingine ni vumbi tyuuu