Nahitaji kujiunga na CCM

mbuyula

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
389
Reaction score
68
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.

Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.

Mimi nipo Dar.
 
Kwa sababu upo Dar, nenda ofisi zao pale Lumumba, utapata kila kitu....Maelezo pamoja na kadi.

habari wana JF
mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili. nipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika, nipo dar
 
habari wana JF
mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili. nipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika, nipo dar

Muone kinana
 
habari wana JF
mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili. nipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika, nipo dar
Nenda kapime afya ya akili.
 
Kwanini usijiunge na kikundi cha ujasiriamali ili upate faida kwa ajili ya maisha yako badala ya kujiunga na Chama cha Siasa ambapo hutapata chochote zaidi ya shs. 10,000/= kwa kuendesha msafara wa pikipiki yenye bendera yao wakati wa kampeni!!
 
Wazo lako zuri lakini humu si mahara pake nakuurumia ngoja waje wenye aleji na hizo elufi 3
 
Nenda kwa kinana utapata kadi na dili hapo hapo atakupa kiroba cha sembe ukawe pusher mtaani ukishikwa kimbia usimtegemee kwani atasema kiroba chakwangu ila unga sio wakwangu.
 
Du bora umejistukia mapema,sasa sijajua uko mkoa gani ila kwa kifupi tuna ofcn za ccm kila mkoa,wilaya,kata nadhani na vitongoji,so ni rahisi sana kwako,unaweza kimbia hapo chap wakakupatia,ukumbuke kwenda na passport size yako pls
 
king ndeshi10:36Today
watu ktoka kaskazini Mwa Tanzania wameamka kuliko namba kubwaya watanzania,hata maendeleo ya MTU mmoja mmoja yanaridhisha ukilinganisha na sehemu Nyingine, so kuichagua chadema ni sehemuya kujitambua kwa watu kutoka kaskazini,the rest of other dump tz inhabitants are just filling the place, am disturbed.msipoamka mpaka mama zenu wataokota makopo. kidumu chama cha wauza pembe.
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.

Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.

Mimi nipo Dar.
uache kujiunga na familia yako ujenge maisha kwa jasho lako...unataka kujiunga na CCM ili ule kodi za watanzania kama paka shume! shame pon yah chi chi man!
 
Mijinga mingine kama huyu mbuyula ni hasara sana kwa familia yake na ukoo yake!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mkuu kwa uamuzi sahihi, wakati sahihi, mtu sahihi. Nakushauri uulize tawi la ccm katika eneo unaloishi, yaweza kuwa ofisi ya kata, tawi, wilaya au mkoa, utapata full details, kadi inatolewa na tawi unaloishi au unapofanyia kazi mradi uchague wewe mahali utakapoweza kushiriki vikao.

pili, gharama:
kadi ni tshs 300/=
ada ni tshs 200/= kwa mwezi sawa na Tshs 2,400|= kwa mwaka.

Kuwa ccm ni ufahari, njoo tuijenge nchi.
 
hongera kwa kujitafutia kipato cha haraka haraka lakini uwe makini wakikuweka kwenye kitengo cha kuua tembo kataa maana tuna mpango wa kuwafungia kamera tunafanya mazungumzo na serikali ya uingereza,wakikuweka kwenye sembe kataa maana wale walioachwa china wananyongwa hivi punde labda wakupe android uwe unapata buku7 hiyo haina madhara sana ila utachelewa kutoka.
 
nashukuru sana mkuu. nawakubali sana ccm kwa mawazo yao, yaani kama wewe
 


:amen::amen:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…