young damwasatz Member Joined Nov 13, 2018 Posts 8 Reaction score 4 Jan 14, 2021 #1 Za saivi wana JF mimi leo mchana nilimtuma mdogo wangu akatoe hela bahati mbaya njiani alichukuliwa na wezi na kuachwa maeneo mbali na nyumbani. Hivyo basi nilikuwa nahitaji niipate simu yangu. Hatua awali za polisi nimesha fanya.
Za saivi wana JF mimi leo mchana nilimtuma mdogo wangu akatoe hela bahati mbaya njiani alichukuliwa na wezi na kuachwa maeneo mbali na nyumbani. Hivyo basi nilikuwa nahitaji niipate simu yangu. Hatua awali za polisi nimesha fanya.
Ernest lukindo Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 162 Reaction score 116 Jan 14, 2021 #2 Aina gani ya simu?
Lily Tony JF-Expert Member Joined Feb 6, 2019 Posts 3,316 Reaction score 4,355 Jan 14, 2021 #3 mimi niseme pole mkuu,wajuzi wa mambo wanakuja kukupa majibu