Kuna ku deactivate na parmanently deleting facebook accountsettings >Account settings > general >deactivate
Nenda kwenye google halafu andika permanently deleting facebook account pakifunguka watakuomba u log in log in ma process mengine utayaona humo humoHiyo ndo naitumia hadi sasa lkn bado akaunti iko hai, maana nikitaka narudi muda wowote, mie nataka kuifuta kabisa mkuu
Safi sanaNenda: Delete Facebook hiyo ndo ya kufuta kabisa sio kudeactivate.
Kwa nini umefikia maamuzi ya kufuta akaunti kabisa??Hiyo ndo naitumia hadi sasa lkn bado akaunti iko hai, maana nikitaka narudi muda wowote, mie nataka kuifuta kabisa mkuu