Nahitaji kufuta akaunti yangu ya Facebook

Nahitaji kufuta akaunti yangu ya Facebook

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,842
Naomba kufahamishwa namna na hatua za kufuata ili kufuta akunti ya facebook.
Natanguliza shukran zangu za dhati
 
Naomba kufahamishwa namna na hatua za kufuata ili kufuta akunti ya facebook.
Natanguliza shukran zangu za dhati
Kama uko addicted na facebook ukii deactivate kawaida siku ukiimis utaenda kui activate tu..

Sasa mimi nakupa njia nzuri ya kuisahau account yako..
Fanya u change password tumia password ambayo huwezi kuikumbuka then inandike kwenye karatasi.
Kisha Confirm password yako vizuri..

Hatua ya mwisho ni ku log out na kutafuna karatasi lenye password..
Hapo kesi inakuwa imeishaaa..
NB:usiweke email yako ili usijerecover password kwa email..

Thank me later
 
Ukishafanya hivi,utatakiwa usi"log in" kwa muda wa siku 90 then ndio itakua deleted moja kwa moja
Mkuu mbona mimi nili deactivate account yangu zaidi ya 6 month na kila niki log in naikuta? Nafanya kilichonipeleka then na deactivate tena
 
Mkuu mbona mimi nili deactivate account yangu zaidi ya 6 month na kila niki log in naikuta? Nafanya kilichonipeleka then na deactivate tena
uki deactivate inaendelea kuwa bado hai ...kuna Uzi uko umu kuna Dada aliweka link ...jarb kuutafta ..maana mimi nilitumia ile link ikafutika moja kwa moja unapewa siku 14 then inakuwa imefutika.
 
Kuna namna ya ku delete moja kwa moja papohapo. Nenda Google andika how to delete facebook account.. Itakuja itakuambia uingize email yako uliyo sajilia ama namba ya simu Plus password. Then uta confirm. Hapo utakuwa umeifuta jumla
 
Back
Top Bottom