Nahitaji kufungua microfinance

mtvbase

JF-Expert Member
May 22, 2014
1,244
1,225
Naomba mnipe maoni yenu kama nataka kufungua microfinance kwa million 10 utawezekana(working capital)
 
Geofrey_GAMS

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
490
250
tusubir wataalam mkuu, labda pia ungekuw specific hyo microfinance unayotak ni ya aina gan maana hat SACCOS ni microfinance, na kama ulikuw uktarget formal microfinace kabisa nafkr ili upate license ya BOT uwe na mtaji wa 500mil
 
mtvbase

JF-Expert Member
May 22, 2014
1,244
1,225
Nitalifanyia kazi na kwa kuanzia nataka niende wizara ya viwanda na biashara kuulizia
 
Mathematician

JF-Expert Member
Nov 8, 2009
325
195
Naomba mnipe maoni yenu kama nataka kufungua microfinance kwa million 10 utawezekana(working capital)

Usifungue. Hiyo ni biashara ya riba muogope mola wako. Kuna thread humu ndani zinaelezea kila shughuli ya kujipatia kipato pengine hata utajiri kihalali kwa ninin iwe kupitia riba? Kwa bahati mbaya majority ya wakristo hawayachukulii haya (riba, ulevi, nguruwe) kuwa ni katika mafundisho ya dini bali ni makatazo kwa waislamu. kana kwamba ni halali kwao.

Igeni yaliyomo kwenye kitabu...

"Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote" (Biblia, Kutoka 22:25)

"Usichukue faida yoyote ya ndugu yako, ama ya pesa au chakula au kitu kingine chochote ikawa umechukua riba" (Biblia, Kumbukumbu la Torati 23:19)

"... faida na kuchukua riba - Je, ndo ataishi? Hapana, lazima wafe, lakini kwa sababu yeye kashiriki katika maovu hayo, atakuwa katika adhabu na kifo. damu yake atakuja juu yake ". (Biblia Ezekieli 18:13)

Angalia mafundisho usiangalie watu. "usije kusema mbona Mkombozi Bank?
 
Mathematician

JF-Expert Member
Nov 8, 2009
325
195
Sio dhambi kuanzisha

Anzisha lakini kama tu unategemea kuishi milele, hautokufa.:smile-big:

"Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote" (Biblia, Kutoka 22:25)

"Usichukue faida yoyote ya ndugu yako, ama ya pesa au chakula au kitu kingine chochote ikawa umechukua riba" (Biblia, Kumbukumbu la Torati 23:19)

"... faida na kuchukua riba - Je, ndo ataishi? Hapana, lazima wafe, lakini kwa sababu yeye kashiriki katika maovu hayo, atakuwa katika adhabu na kifo. damu yake atakuja juu yake ". (Biblia Ezekieli 18:13)

Microfinance=RIBA=Hellfire
 
saragossa

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
2,151
2,000
Naomba mnipe maoni yenu kama nataka kufungua microfinance kwa million 10 utawezekana(working capital)

Mi nlifungua ya kwangu bubu mwaka 2012 na mtaji wa 10m kama wewe sasaivi nazungusha 500m na faida nyingine nazi divert kwenye miradi mingine. Unakuja unaweka gari baada ya kuithaminisha tunakubaliana nikupe sh ngapi ambayo normally ni 30% ya market value ya gari kulingana na condition. Ukikubali nakusainisha mkataba then unaacha gari kwenye yard na docs zake. Ukishindwa kulipa nauza gari. Tatizo ya hii biashara ni kujenga uadui na watu pale unapotaifisha gari zao ingawa ni wao wanakuwa wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba. Inabidi uwe bandidu kweli kweli otherwise lazma ufanyiziwe. Na pia kwa biashara hii kwa imani za dini peponi inakua ngumu sana kuingia. Sasa amua mwenyewe. Kama vipi ni PM nikupe darasa. Riba always ni 30% kwa mwezi.
 
kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
998
1,000
Naomba mnipe maoni yenu kama nataka kufungua microfinance kwa million 10 utawezekana(working capital)

Mtaji inategemea na Aina ya wateja unaowatarget, viwango vya mikopo na muda wa marejesho.Hapo ndio pa kuanzia kufikiria kuhusu Mtaji.( ukikosea hapo madhara yake ni kutengeneza defaulters, kutotoa mikopo kwa wakati kwa wanaorejesha vizuri na kupoteza reputation etc.)

Natoa ushauri technical namna ya kuendesha microfinance kwa fee ndogo ya makubaliano.ni PM
 
mtvbase

JF-Expert Member
May 22, 2014
1,244
1,225
Mtaji inategemea na Aina ya wateja unaowatarget, viwango vya mikopo na muda wa marejesho.Hapo ndio pa kuanzia kufikiria kuhusu Mtaji.( ukikosea hapo madhara yake ni kutengeneza defaulters, kutotoa mikopo kwa wakati kwa wanaorejesha vizuri na kupoteza reputation etc.)

Natoa ushauri technical namna ya kuendesha microfinance kwa fee ndogo ya makubaliano.ni PM

Kaka nitakupataje
 
mtvbase

JF-Expert Member
May 22, 2014
1,244
1,225
Mi nlifungua ya kwangu bubu mwaka 2012 na mtaji wa 10m kama wewe sasaivi nazungusha 500m na faida nyingine nazi divert kwenye miradi mingine. Unakuja unaweka gari baada ya kuithaminisha tunakubaliana nikupe sh ngapi ambayo normally ni 30% ya market value ya gari kulingana na condition. Ukikubali nakusainisha mkataba then unaacha gari kwenye yard na docs zake. Ukishindwa kulipa nauza gari. Tatizo ya hii biashara ni kujenga uadui na watu pale unapotaifisha gari zao ingawa ni wao wanakuwa wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba. Inabidi uwe bandidu kweli kweli otherwise lazma ufanyiziwe. Na pia kwa biashara hii kwa imani za dini peponi inakua ngumu sana kuingia. Sasa amua mwenyewe. Kama vipi ni PM nikupe darasa. Riba always ni 30% kwa mwezi.

Kaka nitakupataje
 
Lio 002

JF-Expert Member
May 10, 2014
436
170

Ndugu nikiitaji msaada wako ntakupataje?
 
Singo

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,073
2,000
Ukifikia uamuzi , naomba unipe kazi ya kukusaidia kusjili hiyo micro credit company brela, zaidi rejea tembelea profile yangu-thraed yangu ya feedback
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom