Nahitaji kufungua biashara ya genge - Dar

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
509
659
Pokeeni salamu zangu ndugu watanzania wenzangu,

Kama nilivyo ainisha hapo juu, nahitaji kufungua biashara ya genge kwa hapa Dar maeneo ya Kimara mwisho.

Nataraji kuanza na mtaji wa 1,000,000 TZS na nitaongeza mtaji kwa kadri ya mwenendo wa biashara utakavyokua naombeni mchanganuo kwa mwenye uzoefu na hii biashara hii hali kadhalika namna bora ya kuweza kumsimamia mfanyakazi kwenye aina hii ya biashara.

Kwa kuwa nataraji kumweka mtu wa kusimamia kwa kuwa nitakuwa na shughuli zingine.

Natanguliza shukrani zangu.

Tunawe mikono kwa maji tiririka

========

Pitia link hizi utapata mawazo ya wadau

1.Biashara ya genge inalipa sana kinachokwamisha watu ni kuwekeza mtaji mdogo sana - JamiiForums

2.Biashara ya kuuza genge - JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom