Nahitaji kufika Gamboshi

dontech

Member
Jan 4, 2020
90
59
Habari zenu humu ndani ninawaomba wale wenye uelewa juu ya kufika kijiji cha Gamboshi nataka kujua njia halisi sio za kusadikika au alie wahi fika huko aje anijuze hapa
 
Njoo in box nikupe njia rahisi .kijiji ni cha kawaida tu kama huna nia mbaya wala hutajua maajabu yake
 
Habari zenu humu ndani ninawaomba wale wenye uelewa juu ya kufika kijiji cha gamboshi nataka kujua njia halisi sio za kusadikika au alie wahi fika huko aje anijuze hapa
 
Back
Top Bottom