Dmuganyizi
Member
- Dec 21, 2016
- 7
- 2
Naomba ushauri juu ya kufanya biashara ya vitenge,nisaidieni tafadhali hasa kwa mtu ambaye yuko kwenye hii biashara.
Unataka kujua nini?soko,mahali pakuchukua vitenge,bei,aina za vitenge,mtaji au nini?Naomba ushauri juu ya kufanya biashara ya vitenge,nisaidieni tafadhali hasa kwa mtu ambaye yuko kwenye hii biashara.
Vyote mkuu soko lake mahali pa kupata Vitenge vizuri na ambazo vinatrend kwa msimu huu (aina za Vitenge na vipi ambavo vinapendwa sana sana) na ushauri kuhusu mtajiUnataka kujua nini?soko,mahali pakuchukua vitenge,bei,aina za vitenge,mtaji au nini?
We uko wapi??na umepanga kuviuza wapi hivyo vitenge,na unamtaji wa kiasi gani?Vyote mkuu soko lake mahali pa kupata Vitenge vizuri na ambazo vinatrend kwa msimu huu (aina za Vitenge na vipi ambavo vinapendwa sana sana) na ushauri kuhusu mtaji
Mim niko daresalaam ,kwahiyo naomba mchakato mzima kama nilivyoomba hapo juu
Please naombeni mnijibu wadau wa vitenge.[/QUOTE Ukipata fursa nenda kariakoo kuna maduka ya vitenge jumla na rejareja,mm unafanya hiyo biashara na mzigo nakuchulia kariakoo
Wengine wanafeligi hata kwa kujieleza kitu wanachokojua au kukitaka!Unataka kujua nini?soko,mahali pakuchukua vitenge,bei,aina za vitenge,mtaji au nini?
b iashara moja.nzuri kaka inawateja wengi sna hasa sehemu za vijiji.Naomba ushauri juu ya kufanya biashara ya vitenge,nisaidieni tafadhali hasa kwa mtu ambaye yuko kwenye hii biashara.
Huyu ndugu bado hajajua nini cha kufanya halafu sidhani kama yupo serious na hiyo biashara,Ebu kwanza tueleze unamtaji wa sh ngapi,na tupe idea yako kidogo juu ya vitengeUna flem unataka kuuza mkononi au kwa order? ni jumla au lejaleja? ujieleze vzr hiki kiswahili tu!