Unahitajika kuwa katika daraja fulani la maisha na mara nyingi wanachama wake ni watu tajiri au wenye nyadhifa kwenye jamii
Unayo lakini hukai meza kuu..BTW umaskini ni dhana tuuMasikini sina nafasi?
Mkuu sio wakati wote unatakiwa uwe tajiri, wakati niko shule ya secondary mwaka 1999 tulishawishiwa kujiunga na tulijiunga wengi tu (16) wa kiume walikuwa 4 tu the rest 12 wote wa kike. Wenzangu wachache wanaendelea mpaka leo lakini wengine (8) tulijitoa mwaka 2009 kila mmoja kwa sababu zake.
Wajenzi huru!!
Kwahiyo zile rituals za wajenzi huru mlizifanya?
Hapana, sisi kipindi kile (1999) tulikua bado wanafunzi wadogo na tulialikwa, ilitakiwa tuwe nao kwa miaka 5 mfululizo bila kukosa au kukosea maagizo yoyote then ndio tupelekwe next step ya full membership Na mengine yafuate.
Ndio freemasonUjenzi Huru ni nini??