Nahitaji kufahamu nauli ya ndege Mwanza - Dar - Mwanza na Bukoba - Dar - Bukoba

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
806
805
Habari za mchana wadau.
Naomba kufahamishwa nauli ya ndege kwa safari zifuatazo:
i] Mwanza - Dar [kwenda tu]
ii] Mwanza - Dar - Mwanza [kwenda na kurudi].
iii] Bukoba - Dar [kwenda tu]
iv] Bukoba - Dar - Bukoba [kwenda na kurudi].
Asante sana.
 
Mkuu hakuna bei fixed kwa usafiri wa anga
 
Habari za mchana wadau.
Naomba kufahamishwa nauli ya ndege kwa safari zifuatazo:
i] Mwanza - Dar [kwenda tu]
ii] Mwanza - Dar - Mwanza [kwenda na kurudi].
iii] Bukoba - Dar [kwenda tu]
iv] Bukoba - Dar - Bukoba [kwenda na kurudi].
Asante sana.
Toa tarehe tukupe bei
 
Hii ni Mwz Dar next Friday, jumlisha 30,000 ya service charge
Screenshot_20210523-170406_Chrome.jpg
 
Habari za mchana wadau.
Naomba kufahamishwa nauli ya ndege kwa safari zifuatazo:
i] Mwanza - Dar [kwenda tu]
ii] Mwanza - Dar - Mwanza [kwenda na kurudi].
iii] Bukoba - Dar [kwenda tu]
iv] Bukoba - Dar - Bukoba [kwenda na kurudi].
Asante sana.
Una shing ngapi mkuu nikupe bei zake fasta?
 
Habari za mchana wadau.
Naomba kufahamishwa nauli ya ndege kwa safari zifuatazo:
i] Mwanza - Dar [kwenda tu]
ii] Mwanza - Dar - Mwanza [kwenda na kurudi].
iii] Bukoba - Dar [kwenda tu]
iv] Bukoba - Dar - Bukoba [kwenda na kurudi].
Asante sana.
Hii akili iliyokufanya uje JF ungeitumia kufungua website ya ATCL ungepata pajibu yako yote na schedule ya safari za huko unakotaka kwenda.

Au kwa ushauri zaidi, jaribu kufungua website za makampuni kadhaa ya ndege za ndani eg. Aerolink, Skylink, Precision, Zan Air, ATCL, zipo kampuni kibao uangalie schedule na tofauti ya bei. Kimsingi bei huendana na muda wa safari au siku ya safari na umbali wa tarehe unayoweka booking so haya yote kwa usafiri wa ndege yanazingatiwa. Ndege sio kimbinyiko kwamba bei imepangwa na Sumatra waweza kukaa na abiria mwezio yeye kalipa 300,000 na wewe ukawa ulilipa 240,000 au 170,000 kutegemea na tarehe uliyofanya booking na uliyolipa ticket yako.

JF haujawahi kuwa travel agent wa ATCL. Jiongeze kidogo unless unatutafutia ban zisizo na kichwa Wala mkia.
 
Back
Top Bottom