Nahitaji kufahamu juu ya malipo ya BVR Operators

Nahitaji kufahamu juu ya malipo ya BVR Operators

Hi BVR imenifanya nicheke sana.Kuna dem mmoja hapa jirani ameenda Arusha kufanya hiyo kitu.Sasa alivyo zuzu baada ya Baba yake kumpa nauli akaenda kununua ticket ya ndege to and fro.Sasa nikajiuliza kwa nini hakwenda na basi ili abane matumizi vizuri? Yaani niruke from Dar to A town via fastjet kufuata 20000 per day? Si nafuu niende na kilimanjaro express? .Kweli kazi ipo kwa hawa madadaz!
 
20,000 per day kwa siku 28 mbona kwa mkoa Wa dar ni siku 12 tu inakuaje hapo kaka@sinagogi
 
Back
Top Bottom