Nahitaji kufahamu juu ya malipo ya BVR Operators

Nahitaji kufahamu juu ya malipo ya BVR Operators

mafuru

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
379
Reaction score
38
Guys kwani wanaoteuliwa kwa ajili ya kuoperate Bvr kit pamoja na uandishi Wa wanaopiga kura katika daftari LA kudumu LA wapiga kura hulipwa sh. Ngapi kwa siku?

Kwa yeyote anaejua juu ya malipo hao naombeni anisaidie please nahitaji kujua ili niundertake opportunity cost hapa wanajamii forum
 
Hao waliokuita ukafanye hiyo kazi ungewauliza straight away mshahara ni kiasi gani...
 
Shida yakupata kazi wakati IT hujasomea ndio hii ya kuuliza wengine wasio kupa ajira. Wakati wajiri wako unamjua
 
Utamuuliza nani wanajamii forum wakati post inatoka kwa public na humjui nani katoa Jerhy &Bavaria
 
Last edited by a moderator:
Mnipe uhakika wanajamii forum na je seminar wanalipwaje pia kwa siku all
 
Last edited by a moderator:
Utamuuliza nani wanajamii forum wakati post inatoka kwa public na humjui nani katoa Jerhy &Bavaria

Vema. Fununu zinasema ni 50 kwa siku kwa muda wa siku 28. Na wengine wasema 20 kwa siku kwa siku 30 kwahiyo uhalisia zaidi waje waliopata tender wasimulie.
 
Last edited by a moderator:
ni elfu 20 hadi 25 mkuu, semina kwa siku ni tsh elfu 30 ingawa baadhi ya mikoa wanalipa elfu 20 ingawa imeandikwa elf 30 kwenye mwongozo wa malipo
 
Nice kijana jerhy..... Umenipa mwanga kwani nimeanza kuwa na kiutambuzi kidogo juu ya malipo yao maana kama ni 50 per day imekaa vizuri kweli aisee Jerhy
 
Last edited by a moderator:
Jamani MWENYE habari kamili juu ya malipo ta hawa watu watumwagie humu tafadhali juu ya ulipaji na seminar zao all
 
Last edited by a moderator:
Jamani MWENYE habari kamili juu ya malipo ta hawa watu watumwagie humu tafadhali juu ya ulipaji na seminar zao all

BVR kit operators na waandikishaji wasaidizi wote wanalipwa 20,000 kwa siku na wanafanya semina siku mbili na malipo ya semina ni ths 20,000 per day!!!
 
Last edited by a moderator:
Nice kijana jerhy..... Umenipa mwanga kwani nimeanza kuwa na kiutambuzi kidogo juu ya malipo yao maana kama ni 50 per day imekaa vizuri kweli aisee Jerhy

Nani akupe 50,000 per day?? Ni 20,000 tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Mzee raza nilijua 50 per day niseme Tanzania ufisadi umeisha MZEE RAZA
 
Last edited by a moderator:
Kayimukaa huo mwongozo niattachie hapa basi kaka.... Au nipe source nikaufollow kayimukaa
 
Last edited by a moderator:
BVR kit operators na waandikishaji wasaidizi wote wanalipwa 20,000 kwa siku na wanafanya semina siku mbili na malipo ya semina ni ths 20,000 per day!!!

Uko sahihi kabisa mkuu, huku nilipo ndivyo walivyolipwa
 
wakuu natakiwa kujua nini I mean aina ya maswali yao ya interview
 
Back
Top Bottom