Nahitaji kufahamu bei ya Mahindi mkoa wa DSM

bei ya kuuza
Yaani ww una mahindi unauza. Mahindi kwa Dar tunauza kwa 400 mpaka hiyo ni kwa kilo so kwa debe unaweza piga maana bede linasimamia kama kilo 17 kwa mahindi ya Njombe lakin kama ni ya Tanga debe huchezea kwenye kilo 15 mpaka 16 kwahyo unaweza zidisha na kupata bei ya debe mpaka gunia ila ujue gunia ni debe 7 lakini serikali inatambua debe 6. Lete hayo mahindi nikuuzie ngosha
 
Ngosha nilitaka nijue bei nitathmini kwanza maana mahindi yako mbeya kama bei iko chini sana kusafirisha hasara..ziko gunia 50 ....

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
 
Ngosha hizo kama ni gunia 50 na kila gunia linasimamia kilo 100 basi hizo ni Tani 5. Mkuu sikushauri ulete huku bora uuzie huko huko mpaka ufike huku na hizo Tani 5 utakuwa umeingia gharama kubwa mno. Biashara ya mahindi ni ngumu mno japo watu wanaichukulia kirahisi tu unaweza leta mzigo wako huo ukakuta bei zimeshuka huku hapo ndio utajuta kuingia kwenye biashara hii. Umefanya Vizuri kuuliza kwa ngosha siku ukiwa na matani kama 30 nakuendelea nichek tufanye kazi. Ila ata hapo Mbeya huwa nafika kuchukua mzigo. Ngosha karibu sana
 
Ahsante kwa ushauri Ngosha..niungishe basi yakiwa huku....Nipate ada ya mtoto

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
 
Jamani ndugu zangu gharama ya kusafirisha mahindi lory la tani 30 toka Dodoma na Iringa kuja DAR ES SALAAM ni shilingi ngapi kwani? Wanacharge kwa gunia au kilometer au maelewano?
 
Back
Top Bottom