Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,531
- 18,727
Unataka kununua ama una mahindi unauzaWapi wanauza kg kwa sh400 mkuu niende usiku huu sasa hiv?
Unataka kununua ama una mahindi unauzaWapi wanauza kg kwa sh400 mkuu niende usiku huu sasa hiv?
Kununua mkuuUnataka kununua ama una mahindi unauza
Kilo 700Kununua mkuu
Parefu aseeh bado hujasaga hapo ,huo unga cjui ntauzaje ili nipate faidaKilo 700
Sema hela yako mkuu biashara maelewanoParefu aseeh bado hujasaga hapo ,huo unga cjui ntauzaje ili nipate faida
450 per kiloSema hela yako mkuu biashara maelewano
Sawa mkuu ni kiasi kizuri ila hakinilipi.450 per kilo
Jero per kilo vp?Sawa mkuu ni kiasi kizuri ila hakinilipi.
Njoo tusage ndugu tuuze km unga itasaidia kwa kiasi. Nina mashine na store pia nicheki.Kaka acha kabisa. Kichwa kinauma hapa. Gunia ziko ndani na mpk sasa dalili sio nzuri!
Gunia au debebabati elf 45, arusha elf 56
ujue gunia ni debe 7Wadau habari za asubuhi
Naomba kujua bei ya mahindi kwa debe/gunia Dar es salaam kwa sasa.
Nashukuru sana
Bei ya kuuza ama kununuaWadau swali langu la msingi bado halijajibiwa......naomba tujuzane bei ya dar kwa kilo/debe/gunia ni sh.ngapi?
Wadau swali langu la msingi bado halijajibiwa......naomba tujuzane bei ya dar kwa kilo/debe/gunia ni sh.ngapi?
Sawa mkuu kwa debe ni sh.ngapi?