Wana jamvi naomba msaada wenu, nahitaji kutumia modem yangu ya tigo (zile za zamani) au voda zte k3571 katika kuunganisha internet ili niitumie kwenye linux, nifanyeje, nisaidieni,
Wana jamvi naomba msaada wenu, nahitaji kutumia modem yangu ya tigo (zile za zamani) au voda zte k3571 katika kuunganisha internet ili niitumie kwenye linux, nifanyeje, nisaidieni,
Msheshimiwa ningependa kukupinga kwa ilo......kama ni mtumiaji wa ubuntu version chini ya 11.04 lazima utakutana na hii shida....huwa hazi detect modems unless u download n install wvdial...
Msheshimiwa ningependa kukupinga kwa ilo......kama ni mtumiaji wa ubuntu version chini ya 11.04 lazima utakutana na hii shida....huwa hazi detect modems unless u download n install wvdial...
ni kweli ndugu yangu, ila nakushauri utumie ubuntu 11.10, wamerekebisha hilo, yaani unaweka modem tu, then unachagua nchi na mtandao basi, hakuna instalation, kama unatumia tigo, nenda manual setting, its simple. Just set dialing number, voda, zantel, airtel... Tayari wameziwekea dialing code zake, kama unataka mitandao mingine pia kuna choice ya kufanya manual setting. Sio kama window unaweka program kila modem. Mi ni mtumiaji wa ubuntu kwa mwaka mmoja nao, sijapata tatizo na naipenda kuliko windows. Kama utashindwa mimi nitakuelekeza.