Nahitaji kubadilishana gari

Nahitaji kubadilishana gari

s8plus

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
74
Reaction score
25
Habari wadau! Nina gari aina ya Toyota MarkII JZX100 model. Nilikuwa nahitaji kubadilishana na benz yoyote ya mwaka 2000 na kuendelea. Au gari yoyote nzuri, Kwa aliye tayari aje tuyajenge. View attachment 846910
20180825_212214.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hiyo lugha sio nzuri kwa uzi wa mtu. Kama hujui bora upite tu. Ndio maana nimeweka mwaka hapo kwa sababu sio benz zote zina thamani sawa na hii gari yangu. Nyingi za mwaka 2000 haziifikii thamani hii gari yangu

This is the best and most suitable language I have used so far... I call apple, An apple and Lemon, a lemon...
Sasa hiyo Screppa yako ulitaka niiteje?
So far, for your information, thamani ya gari yako at the current market price haizidi Tsh 1.5M...
Siku nyingine usifananishe Benz na vitu vya kijinga. Nimekasirika sana...
 
Yaani nimechoka. Nadhani mlete hoja hapo alipo anajilaumu hata kuingia JF, Such a vulgar language is it still in this world?? Basi mkuu mhurumie mwenzio.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
This is the best and most suitable language I have used so far... I call apple, An apple and Lemon, a lemon...
Sasa hiyo Screppa yako ulitaka niiteje?
So far, for your information, thamani ya gari yako at the current market price haizidi Tsh 1.5M...
Siku nyingine usifananishe Benz na vitu vya kijinga. Nimekasirika sana...
Duh kwa hiyo fekon ni bei mbaya kuliko hiyo Mark II hahahahahahahaha
 
This is the best and most suitable language I have used so far... I call apple, An apple and Lemon, a lemon...
Sasa hiyo Screppa yako ulitaka niiteje?
So far, for your information, thamani ya gari yako at the current market price haizidi Tsh 1.5M...
Siku nyingine usifananishe Benz na vitu vya kijinga. Nimekasirika sana...
Ngoja nimbadilishie na ndama wa punda akauze kwa wachina
 
Mtoa mada nakupa moyo na kila kitu kinawezekana!
mfano!Ungeanza na madalali wa magari na uwaambie hivi Una gari yako unataja model na aina ya gari na useme unatafuta gari fulani na uko tayari kuongezea Fedha!!Hiyo nadhan ndio itakuwa Lugha nyepesi ya kuwashawishi!!
Mie binafsi nilifanikiwa Mwaka Juzi!!So usife moyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Azingatie huo ushauri mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom