Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,697
wakuu hv majuz nimepata bima za afya ya nhif,sasa nataka nimtoe dependant mmoja ambae kwa bahati mby ame rip,hv utaratibu ni aje? Najua kuna ofisi zao lakn sina muda wa kwenda kuulizia atleast nijue kupitia jf,ili siku nikienda niweze ku2mia muda mchache