Nahitaji kuanza kutumia pombe


Acha kabisa nakushauri, utakumbuka ushauri huu ukifikia 40 to 50 yrs old
 
Mtu hajaomba ushauri wa maisha ww unaanza na ushauri,
 
Pombe za kujifunzia ukubwani achana nazo mkuu
Huyu nafikiri huenda itakua kamiss kuvaa pampers., Si bure! Anataka Dj amrudishe utotoni

Anywe nyagi geto, azime..na tena asahau kufunga mlango...wahuni wapite nae kipopobawa.

Stakafirura, mwanaizaya we jamaa...unautafuta ushoga kwà Nguvu!

Note: Kuna jamaa nilisoma nae Chuo, alikua bonge la handsome....

Alijitunzia Pombe chuoni...akawa anarudishwa kalewa chakali hostel,....kisha wahuni wakaanza kupita nae huku wakimrekodi.
 
We kweli kipusa, mwanaume mwenzako unasemaje ni handsome???

Sielewi Yani unamuangalia kidume mwenzako unaona kabisa anafaa???
 
Mkuu ishu ni msimamo ukishajua mm level yangu ni hii hauzidishi....

ukiwa hujawai kutumia kilevi chochote wew jua hujawai kuishi......
 
We kweli kipusa, mwanaume mwenzako unasemaje ni handsome???

Sielewi Yani unamuangalia kidume mwenzako unaona kabisa anafaa???
Mkuu Kuna watu ni ma handsome Mimi ni mmoja wao....
Naambiaaga tangu utotoni na saivi NDIO nipo kwenye PICK....

Ningeweka picha hapa sema nikujiletea shida huko mbeleni maana hapa JF ni ILLUSION

Amini Kuna wanaume ambao kama ilivyo kwenye madume ya Ng'ombe,mbuzi, nguruwe,Mbwa, Kuku, Bata Bado wangechagua mbegu Bora za kupanda majike Yao Ili kupata mbegu Bora.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…