HUSSEIN MUSHI Member Joined Feb 16, 2013 Posts 51 Reaction score 18 Jun 6, 2014 #1 Habari wakuu. Naomba msaada jinsi ku update profile na kuedit details zangu humu jamvini kwa kutumia simu. Mfano nataka kubadilisha location na Job yangu. Naomba kuwasilisha ahsanteni.
Habari wakuu. Naomba msaada jinsi ku update profile na kuedit details zangu humu jamvini kwa kutumia simu. Mfano nataka kubadilisha location na Job yangu. Naomba kuwasilisha ahsanteni.
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,337 Reaction score 2,907 Jun 6, 2014 #2 Wasiliana na Invisible.
G Ground 00 JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 2,112 Reaction score 1,587 Jun 6, 2014 #3 Ni kweli kwa sie tunaotumia simu ni vigumu. Hii jf application inahitaji kurekebishwa. Km mimi nilikuwa nataka kufuta notifications lkn inashindikana
Ni kweli kwa sie tunaotumia simu ni vigumu. Hii jf application inahitaji kurekebishwa. Km mimi nilikuwa nataka kufuta notifications lkn inashindikana
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,558 Jun 6, 2014 #4 jina tunabadilin vp?