kuna jamaa flani mmoja mganda mwingine mnaijeria naweza kukutanisha nao ukipenda wao wanadeal sana na matangazokwa sasa sina mac. naweza kuanza na adobe. mambo ya bei tunaweza kuongea chemba, ndugu.
sasa kama huna mc mazoezi utafanyia wapi?...hata adobe inabidi uwe na pc yako ili uweze ufanya mazoezi madogo madogokwa sasa sina mac. naweza kuanza na adobe. mambo ya bei tunaweza kuongea chemba, ndugu.
hao jamaa wanafundisha au wanadeal na matangazo..?kama wana deal na matangazo wanapataje muda wakufundisha mtu ..?hivi unajua most of the advertising agency hawachukui mtu amateur..?kuna jamaa flani mmoja mganda mwingine mnaijeria naweza kukutanisha nao ukipenda wao wanadeal sana na matangazo
unatakiwa ujue hao jamaa wanafundisha unachotaka au unataka uende kuburuzwa tu asa cheap labour without knoweldge and skillls..?..tafuta vyuo soma kisha tafuta kazi utalipwa vizuri tu ukiwa unajua...byeeeeeeeeeeeeNiunganishe, mkuu. Hope watakuwa msaada.
sasa kama huna mc mazoezi utafanyia wapi?...hata adobe inabidi uwe na pc yako ili uweze ufanya mazoezi madogo madogo
unatakiwa ujue hao jamaa wanafundisha unachotaka au unataka uende kuburuzwa tu asa cheap labour without knoweldge and skillls..?..tafuta vyuo soma kisha tafuta kazi utalipwa vizuri tu ukiwa unajua...byeeeeeeeeeeee
kiukweli mkuu hapa tz hakunaga chuo kizuri cha masuala ya editing na motion graphics wengi wanajua kukata kata tu na kuunganisha clip,tafuta mac yako then naweza kukupatia tutorial ukajifunza vizuri sana ila kwa kuanza hasa adobe unaweza kwenda hapo dsj.
Katika hili nitakutafuta. Zaidi sana nina pc tukiukweli mkuu hapa tz hakunaga chuo kizuri cha masuala ya editing na motion graphics wengi wanajua kukata kata tu na kuunganisha clip,tafuta mac yako then naweza kukupatia tutorial ukajifunza vizuri sana ila kwa kuanza hasa adobe unaweza kwenda hapo dsj.
Gonga hapa Graphics DesignWakuu hii kozi inapatikana wapi. Nahitaji kumpatia ndugu yangu hii knowledge kwa manufaa yake. Kwa yeyote mwenye kuijua kwa uzuri tufahamishane tafadhali.