Nahitaji Korosho

Nahitaji Korosho

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
638
Reaction score
607
Habari zenu wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji korosho zilizobanguliwa tani moja, hata zikiwa mchanagnyiko wa rangi yaani nyeupe na kahawia sawa ziwe gredi one kwani nitasafirisha nje ya nchi. mwenye nazo au atakayeweza saidia kupata tafadhali nijulishe nikutafute, nipo Dar.
 
Unanunua kilo moja tshs ngap??? Mzigo upo wa kutosha.
 
Habari zenu wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji korosho zilizobanguliwa tani moja, hata zikiwa mchanagnyiko wa rangi yaani nyeupe na kahawia sawa ziwe gredi one kwani nitasafirisha nje ya nchi. mwenye nazo au atakayeweza saidia kupata tafadhali nijulishe nikutafute, nipo Dar.
weka ofa yako
 
ebwana mambo vipi]

naweza kujua gharama kwa kilo moja na gharaa ya tani moja unaweza kuniuuzia sh ngapi..na je ka pia unaweza kunipa gharama za usafirishaji toka mtwara kuja dar kwa fuso au gari lolote kwa tani moja ni sh ngapi
 
MKUU, MIMI NAJUA ZINAKOPATKANA, TSHS. 20,000 PER KG.

HVYO TANI MOJA NI. M.20

KAMA UPO TAYARI NJOO PM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom