kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,052
- 7,057
Kula mbegu za tikiti maji,
* ushauri huu hauhusiani na post*
* ushauri huu hauhusiani na post*
Dah....ila hii mijamaa inaonekana kupiga kazi kama ndiyo jadi yaoHuko rufji kuna wasukuma wana lima balaa... juzi nilpo kuwa huko nimeshuhudia gunia la kg 100 la viazi vitamu wanauza kwa sh. 30,000/- hadi 40,000/- na watu wanaenda kununua huko na kusafirisha kuja mjini kuuza....
yeah wameingia huko mwaka 2006 hivi... wakachukua maeneo makubwa tu wakaweka makazi na kuanza shughuli zao za kibinadamu....Dah....ila hii mijamaa inaonekana kupiga kazi kama ndiyo jadi yao
!Pori tupu la heka moja huko Vijijini linauzwa kuanzia mil 1 mpk laki sita, shamba la korosho una kodi heka kwa sh 250000 mpk laki tatu sembuse lenye mikorosho liuzwe 30000. Nipe no ya simu ya Hao wanaouza shamba la mikorosho Eka 30000 nikanunue.
!Nimekwambia korosho Zilizobanguliwa kilo Vijijini ni 17000 mpk 18000 korosho ambazo hazijabunguliwa ukinunua kwa mkulima ni 2500 mpk 3000 kwa kilo, kwenye maghala ya ushirika korosho inanunuliwa kuanzia 3500 mpk 4000 au inategemea bei elekezi Kutoka juu
hii ndio post yako ya kwanza kabisa kama sija kosea kama bei ni uliyo itaja hapaNa hii ni bei ya Vijijini kwa Zilizobanguliwa. Zikifika Dar kilo 25000 mpk 30000 .
Nimekwambia korosho Zilizobanguliwa kilo Vijijini ni 17000 mpk 18000 korosho ambazo hazijabunguliwa ukinunua kwa mkulima ni 2500 mpk 3000 kwa kilo, kwenye maghala ya ushirika korosho inanunuliwa kuanzia 3500 mpk 4000 au inategemea bei elekezi Kutoka juu