Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 791
Umbali gani kutoka road, bondeni sana, maana huko kuna mabonde.Kinyerezi kwa mbele kidogo kama unaenda mbezi
Umbali gani kutoka road, bondeni sana, maana huko kuna mabonde.Kinyerezi kwa mbele kidogo kama unaenda mbezi
Sio mbali kihivyo kutoka road..... kiwanja kilichonyooka yaani flat kabisa bei zake ni ndefu kidogoUmbali gani kutoka road,bondeni sana,maana huko Kuna mabonde .
Mbona msisitizo ni mkubwa mno? Bei zikoje?Viwanja Vipo Madale Karibu na Kwa Diamond.
Mmiliki Namfaham Sana Mpaka Nyumbani Kwake, Huwa ananunua maeneo na Kuuza na Ukiridhika Na Vielezo Utanunua, Usipo
Ridhika ni Sawa Pia (Biashara Huria)
Very Clean Documents, Very Straight Business
Kama Upo Serious PM
Mimi eneo langu nimenunua kwa huyo huyo jamaa. Vielelezo Vyote Vimenyooka Sahihi mpaka Dole Gumba ukitaka unawekewa + vitambulisho vya nida.
Very Straight Businessman.
Mbona msisitizo ni mkubwa mno? Bei zikoje?
Nimepata 24×30 kwa 2.5M. Misugusugu 1.5km toka morogoro road, lakin nimeshindwa maana ni umbali wa masaa mawili na nusu toka kimara kwa daladala.Kwa anayehitaji Kibaha aje nimuuzie kuna vya 20x20 bei 1.8m na 25x25 bei 2.8m eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. 0755401051 kwa maelezo zaidi kuona na kutahmini ni bure hakina udalali
Nimepata 24×30 kwa 2.5M. Misugusugu 1.5km toka morogoro road, lakin nimeshindwa maana ni umbali wa masaa mawili na nusu toka kimara kwa daladala.
Boss nina milion 3 tuViwanja vipo Mbezi Msumi ila muuzaji anaanzia Tsh6,000,000/= japo mkielewana anaweza kushuka hadi Tsh5,000,000/=.
Ukubwa ni kuanzia mita 20*20.
Kibamba je?Viwanja vipo Mbezi Msumi ila muuzaji anaanzia Tsh6,000,000/= japo mkielewana anaweza kushuka hadi Tsh5,000,000/=.
Ukubwa ni kuanzia mita 20*20.
Boss nina milion 3 tu
Kibamba je?
DuhHana viwanja Kibamba.
Labda Makabe na Msakuzi ila bei imechangamka sana.
Ongeza hela nikuuzie kiwanja kifuru hapa 5.5milViwanja hakuana??
Vumilia tuu utapata au ongeza pesa kidogo, hiyo mil 3 ukiwa na haraka upata vilivyo pembeni ya mabonde ya maji.Viwanja hakuana??
Kweli mkuu. Ngoja nivute subra.Vumilia tuu utapata au ongeza pesa kidogo, iyo mil 3 ukiwa na haraka upata vilivyopembeni ya mabonde ya maji
Kigamboni kumenikalia kushoto. Nahitaji uelekeo wa morogoro road.kiwanja kipo kigamboni 20*20 umeme upo na njia safi hadi kwenye kiwanja chako... bei 5ml. jirani na bara bara kuu ya kigamboni kwa maelezo zaidi njoo PM