Nikutafute kesho asubuhi kwa 2mKIWANJA KIPO NZUGUNI A Dodoma- BLOCK AN.UKUBWA WA SQM 706 ..BEI 6.5 milioni Mazungumzo yapo
Mkuu viwanja vpo Kiluvya kwa Sumaye mbele kwa hiyo being unapata umbali kama km 1.5Boss nina milion 3 tu
Nikutafte kesho asubuhi kwa uko sttaight sana, na mm nimuongezea 1m nimpe 3m!
HapanaBagamoyo je
Tuwasikiane WhatsApp 0625492720Ongeza hela nikuuzie kiwanja kifuru hapa 5.5mil
Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano.
Naanza kuchanga za tofali sasa.
Asante mkuu. Kibamba kwa 4Mhongera mkuu umepata wapi kwa bei gani
Kichukue hiki hapa.Wakuu nahitaji kiwanja.
Location: Sehemu yoyote kuanzia Kimara mpaka Kibamba.
Bajeti : 3M.
Tuwasiliane.
************************************
Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano.
Naanza kuchanga za tofali sasa.
Hicho ni kiwanja au korido?Kipo kibaha kwa mfipa,umbali km 4 hivi kutoka Morogoro road.Ukubwa ni mita 40 kwa 15 na bei yake ni tsh 2.5m fixed.
Hello..Sio mbali kiivyo kutoka road .....kiwanja kilichonyooka yaani flat kabisa bei zake ni ndefu kidogo
Bado vipi??Kwa anayehitaji Kibaha aje nimuuzie kuna vya 20x20 bei 1.8m na 25x25 bei 2.8m eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. 0755401051 kwa maelezo zaidi kuona na kutahmini ni bure hakina udalali