Nahitaji kiwanja wilayani nzega

Nahitaji kiwanja wilayani nzega

Qulfayaqul

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
480
Reaction score
84
Kwa wale wakazi wa nzega ninahitaji kiwanja maeneo hayo. Mimi niko dar es salaam ila mwenyeji wa tabora. Bajeti yangu ni kati millioni moja mpaka millioni mbili.
 
maeneo gani unataka Nzega
Ipilili,Ushirika,Uzunguni, Nyasa Juu au Kitongo mpya kwenye lami nakushauri ukanunue huko maana mji ndio unahamia huko
 
kitongo mpya wafanyakazi wa mgodini wanaondoka wasiliana nao watakuuzia wana viwanja huko
 
Back
Top Bottom