Newcastle1234
Member
- Oct 29, 2022
- 96
- 199
Just Whatsapp. NO CALLS
🤣🤣*****60 hupati kiwanja andaa 100 kuendelea Mbweni Malindi ila JKT anzia 300
Hela hiyo umeipata kwenye aviator mkuu?Natafuta kiwanja Mbweni.
Bajeti yangu Mil.60.
Ukubwa at least 900sqm
SITAKI MADALALI.
Kwa mmiliki au anaemfahamu mmiliki anitumie picha na location kwenye WHATSAPP 0788 893364.
Just Whatsapp. NO CALLS
Mbweni hazifanani... plot za 60m zipo, unapata square meter 600-800 hiviKwa Mbweni hiyo hela ndogo, Kama una 100M sasa hivi unapata hicho kiwanja huko Mbweni
Yeye anataka 900sqm sasaMbweni hazifanani... plot za 60m zipo, unapat square meter 600-800 hivi
Anaweza akapata.... watu wakishaona hela huwa wananyweaYeye anataka 900sqm sasa
Just Whatsapp.
Just Whatsapp. NO CALLSPLOT FOR SALE KIMARA STOP OVER
Vivanja 2 vinauzwa Kimara stop over. Ni Kilometa 4.5 Kutoka Kituo cha basi Stop Over, Upande wa Kulia kama unatoka Ubungo. Ukubwa wa viwanja Sqm 903-Mil 38 Sqm 1117-Mil 43 Vimepimwa ila hati bado. Bei kwa vyote:-81M Call 0713794962www.jamiiforums.com
Just Whatsapp. NO CALLS