Nahitaji kiwanja maeneo ya Banana

Nahitaji kiwanja maeneo ya Banana

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,450
Reaction score
6,211
Kuna jamaa aliweka tangazo kuwa anauza kiwanja maeneo ya banana sijajua ni nani kama.hajauza aje tuyajenge lakini pia nahitaji uwanja maeneo hayo hela iko mfuko wa shati
 
Brother banana sizani Kama Kuna kiwanjwa njoo kitunda mwanagati kibeber na magore kivule huku ndipo Kuna viwiwanja
 
Back
Top Bottom