Nahitaji kiwanja kwa haraka

Nahitaji kiwanja kwa haraka

Ninavyo kigamboni
Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm.

Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm

Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako
 
Ninavyo kigamboni
Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm.

Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm

Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako

Mkuu mbutu ndio wapi,? Kibada au,
 
Mbutu iko kigamboni mwambao wa bahari kuelekea kimbiji baada ya geza ulole
 
Ninavyo kigamboni
Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm.

Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm

Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako

Hicho cha sqm 2000 hauchukui kwa 8m?
 
Bado unaweza kuchukua cha kulingana na budget yako ya 8m
 
Kama unaharaka ya kujenga ili uwahi kuhamia basi chukua mbutu maana kumeisha anza kujengwa na barabara zipo na pia hata dala dala zipo
 
Mwasonga bado sana na panafaa mtu asiye na haraka ya kujenga ili ahamie hivi karibuni unless kama ana interest na kuanza kupatumia kwa kilimo au ufugaji au pia anapenda kuishi nje ya mji
 
Kama unaharaka ya kujenga ili uwahi kuhamia basi chukua mbutu maana kumeisha anza kujengwa na barabara zipo na pia hata dala dala zipo

Viwanja vyako vya mbutu vipo maeneo ya maghorofa ya Akbaru?
 
pale kwenye magorofa unakwenda kushoto kama nusu kilomita. Na hata akbaru kachukua viwili vya 5000sqm kule mwasonga pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom