Nahitaji kiwanja kwa haraka

Nahitaji kiwanja kwa haraka

500/600sqm kinakufaa? Geza block 18/24
 
Ninavyo kigamboni
Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm.

Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm


Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako

Akoh process ya kuconvert offer ili hati isome jina tofauti ikoje kirahisi?
 
Mwasonga bado sana na panafaa mtu asiye na haraka ya kujenga ili ahamie hivi karibuni unless kama ana interest na kuanza kupatumia kwa kilimo au ufugaji au pia anapenda kuishi nje ya mji

Vp Mwongozo bei zikoje?
 
We ukilipia tu sisi ndo tuna process hati na unapata ndani ya miezi miwili hadi mitatu. Lakin itabidi mwansheria wako ndo asaini
 
Ninavyo kigamboni
Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm.

Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm


Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako

Nijuavyo mimi hakuna kiwanja kina offer maeneo ya Mbutu na ambacho unaweza baadaye kubadilisha na kupata hati. Labda kama ni hati za mashamba. Kwa Kigamboni maeneo unayoweza pata hati ni yale yaliyopimwa na kuuzwa na halmashauri ya Temeke kabla ya uanzishwaji wa KDA (Kigamboni Development Agency) ambayo ndiyo imepewa mamlaka ya kusimamia uendelezwaji wa mji wa Kigamboni.
Nakushauri utafute habari za kutosha kuhusu Kigamboni ambazo zinapatikana pale Wizara ya Ardhi ili kuepuka usumbufu kwa hapo baadaye.
 
Nachukizwa sana na hii tabia ya mtu kujifanya anajua kumbe hajui chochote.
Acha kuongea usichokijua, hata kukaa kimya ni busara pia. Wa tz tutaendelea kuwa nyuma siku zote sababu ya mitindio ya bongo zetu.
Nilikuwa navyo 22 vimebaki 10.

Kwa uhakika unapewa copy ya offer then nenda kahakikishe halafu ndo ufanye malipo
 
40 x 20 m kama unataka nikupe.
Bei 20m hakijapimwa na hamna hati. Goba.
Ukihitaji niPM
Hamna dalali mwenye mali mwenyewe na wala hamna punguzo la bei wala hati pungufu.
 
40 x 20 m kama unataka nikupe.
Bei 20m hakijapimwa na hamna hati. Goba.
Ukihitaji niPM
Hamna dalali mwenye mali mwenyewe na wala hamna punguzo la bei wala hati pungufu.

Nipe location na maelezo zaidi. Je pamejengeka maji na umeme, na pia kipo barabaran au chaka?
 
Taarifa kwa ambao wanahitaji kuja kuona na kupata uhalisia wa viwanja vya mwasonga na mbutu, maomba wanijulishe ili jmosi na jpili waweze kupelekwa.
 
Kiwanja kinapatikana msongola ekari moja millioni 10/8 karibu na wahi mapema kwqni zimebaki ekari 4 tu barabarani....
Piga simu +255 657 740 797
 
atakayependa salasala mwisho wa lami,dada yangu anauza nusu heka kwa 16m,lakini hakijapimwa na hakina hati if interestd nikupeleke.0717567879
 
Yes Znz spice, ni jirani na magorofa ya akbaru
 
Karibuni sana, viwanja vya Mbutu ni 500m toka baharini, vimebaki vya 1800sqm na 1400sqm.

alfredmkohi@gmail.com
0764800989 whatsapp, sms or call
 
Ukitaka heka 2.5 kipo kitonga kata ya msongola wilaya ya ilala bei 60ml punguxo lipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom