Nahitaji kiwanja ,kibada kigamboni offer :isizidi 20m

Joined
Jan 15, 2014
Posts
39
Reaction score
4
HABARI WADAU

Nahitaji Kiwanja kiwe na Tittle Deed na kisiwe chini ya square meters 1500, offer yangu kisizidi 20m, Matapeli msihangaike kwasababu hutopata kitu,Nitatumia mwanasheria wangu kudeal na wewe na atahakikisha na ardhi kama ni halali chako. na umbali uwe si zaidi ya 15kilometers kutoka FERRY
 
Nina mashaka sana kama ulipata kwa offer yako ya 20mil na hizo spec ulizozihitaji
 
Mbona umetumia nguvu nyingi ivyo?
 
HABARI WADAU

Nahitaji Kiwanja kiwe na Tittle Deed na kisiwe chini ya square meters 1500, offer yangu kisizidi 20m, Matapeli msihangaike kwasababu hutopata kitu,Nitatumia mwanasheria wangu kudeal na wewe na atahakikisha na ardhi kama ni halali chako. na umbali uwe si zaidi ya 15kilometers kutoka FERRY

Wanasheria wenyewe wezi..
 
Kiwanja cha namna hii kwa bei hii unaweza kukipata Kimanzichana mkuranga sio huko Kibada. Ukipata cha chini sana sq. meter 600 ni milioni 80/=
 
Kama utakubali kusogea kidogo vyakwangu viko mwongozo ni km18 kutoka ferry na kama km 2 kutoka Dege eco residence ni square meters 2400
 
njoo nikuuzie shamba la eka 2.5 karibu na veta mpya achana na virobo eka hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom