Nahitaji kiwanja Dodoma pembezoni mwa barabara

Nahitaji kiwanja Dodoma pembezoni mwa barabara

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
757
Reaction score
2,141
Nahitaji kununua kiwanja Dom.

Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa

Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
 
Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa

Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
Makazi, Makazi na Biashara au biashara?

Budget yako?
 
Nahitaji kununua kiwanja Dom.

Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa

Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
Tuwasiliane,Mimi ni contractor niko Dodoma so naweza kusaidia kwenye hilo#0752565425
 
Nahitaji kununua kiwanja Dom.

Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa

Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
Ninacho cha sq metres 56
 
Zile kampuni za Real Estates wameshashikilia viwanja vyote vinavyoweza kumpa mtu utajiri au pesa kwa namna nyingi.

Hata maeneo ya Mkonze ili upate kiwanja barabarani ni lazima umwage pesa chafu kwao vinginevyo usogee Mpunguzi au uuziwe na Mgogo mwenye njaa
Dangerous
 
Nahitaji kununua kiwanja Dom.

Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa

Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
Ninacho Nala ya Kwanza,karibu ukione tufanye Biashara, napatikana kwa namba 0620333409
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom