Nahitaji kiwanja Arusha

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
Habari wakuu ndugu zangu

Nahitaji kiwanja Arusha maeneo yoyote ila kama nitaweza kupata maeneo ya njiro, kijenge au popote pale na bei iwe chini wakuu wangu kiwanja chenye uwezo wa kujenga vyumba 4 na bafu na jiko ndani pawe pahali ambapo usafiri utaweza kufikika kirahisi pls aliyenacho aniPM kwa
mawasiliano zaidi
 
Kuna viwanja viwili,
MOSHONO,karibu na kambi ya jeshi,ukubwa MITA 23X20,BEI:MILIONI 12,Kingine MITA 25X20 BEI:MILIONI 15.

Eneo lote limejengwa na majirani kwa kufuata taratibu zote na miuondombinu yote ipo kama maji,umeme,barabara nk.

Pia kuna viwanja maeneo ya NGUSERO,umbali wa 9KM toka Arusha Clock tower,maji yapo ila umeme uko mbioni kufika muda wowote toka sasa
MITA 10X10=4MILION, MITA 20X20=16MILIONI,MITA 20X10=8MILIONI.

Pia MOSHONO kuna viwanja,maji yapo na umeme upo jirani.
MITA 18X20=11MILIONI,MITA 15X20=9MILIONI.

Viwanja VYOTE vinauzwa na mwenye mali na sio DALALI.Nyaraka zote muhimu zipo.

Nimeona niweke tangazo hili hapa kwa faida ya wengi badala ya PM.

Kumbuka sehemu zote zinafikika kiurahisi hata kwa saloon car.(gari ndogo)

Mawasiliano: 0752489529 au PM.

Habari wakuu ndugu zangu

Nahitaji kiwanja Arusha maeneo yoyote ila kama nitaweza kupata maeneo ya njiro, kijenge au popote pale na bei iwe chini wakuu wangu kiwanja chenye uwezo wa kujenga vyumba 4 na bafu na jiko ndani pawe pahali ambapo usafiri utaweza kufikika kirahisi pls aliyenacho aniPM kwa
mawasiliano zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom