Mkuu, Me nakihitaji.. Unauza kiasi gan?Ungekuwa dar ningekupa kimoja maana nina 2.
Ningekupa nawewe ungenipa pesa.
kuna jamaa yupo moshi anauza decoder na antena yake kwa 30,000 kama upo serious njoo P.M mara mojanahtaji startimes wakuu
nanunua kwa tsh 20000
nipo arusha km kipo njoo pm
Poa man.nipo arusha
aiseeWanakera sana Startimes huduma kwa wateja hawajali nimewapigia simu wanakwambia tatizo linashugulikiwa lakn tatizo linakua pale pale.. Unalipia kifurushi cha Mwezi lakn hakifiki mwezi baada ya week 2 au 3 kinakata.. Wapuuzi sana wale watu
ndo changamoto bossWanakera sana Startimes huduma kwa wateja hawajali nimewapigia simu wanakwambia tatizo linashugulikiwa lakn tatizo linakua pale pale.. Unalipia kifurushi cha Mwezi lakn hakifiki mwezi baada ya week 2 au 3 kinakata.. Wapuuzi sana wale watu