Nahitaji kisimbusi cha startimes

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Nahitaji startimes wakuu nanunua kwa tsh 20000 nipo Arusha kama kipo njoo pm
 
Unahitaji na antenna yake?
20 king'amuzi tupu ujitaka na antena ongeza dau.
Nitakuletea ulipo kwa hapa dar au utakifuata Temeke Vetenary(Magorofani)
 
Tuma shipping fee nikutumie bure cha dish nipo lindi, huduna zao mbovu sana
 
Wanakera sana Startimes huduma kwa wateja hawajali nimewapigia simu wanakwambia tatizo linashugulikiwa lakn tatizo linakua pale pale.. Unalipia kifurushi cha Mwezi lakn hakifiki mwezi baada ya week 2 au 3 kinakata.. Wapuuzi sana wale watu
 
Ninacho hapa sanawar mataa nanimekilipia kifurushi cha mwezi jana bei elfu 30 nicheki kwa 0757559518
 
Cha antenna au ungo?

Mie ninacho , nipo Iringa nicheki pm
 
Mimi ningekupa buree maana nnavyo viwili sivitumii natumia AzamTv ila tatizo upo mbali sanaArusha! ungekuwa Dar ningekupatia tu buree
 
Ongeza buku tano nikupe kina kifurushi cha nyota. Niko moravian karibu na triple A
 
Wanakera sana Startimes huduma kwa wateja hawajali nimewapigia simu wanakwambia tatizo linashugulikiwa lakn tatizo linakua pale pale.. Unalipia kifurushi cha Mwezi lakn hakifiki mwezi baada ya week 2 au 3 kinakata.. Wapuuzi sana wale watu
aisee
 
ndo changamoto boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom