uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Kama kioo ni Kizima na touch tu Ndio haifanyi kazi basi Unahitaji kubadili touch.Habari zenu!
Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi inakubali lkn kwa vidole haikubali. Kuna mtu alinishauri nitafute used kuliko kuagiza akidai ntapata lkn kinakuwa ni copy sio genuine. Kwa anaefahamu bei yake inaweza kuwa sh ngapi na waoi naweza kupata.
Note: Simu inafanya kazi vizuri kabisa na hakuna hata alama labda ya wino au lolote kwenye kioo zaidi ya mipasuko midogo midogo ktk kona
Chief-Mkwawa
Cc Mafundi simu
Maelezo yk yapo sahihi. Ndicho nachohitaji kto link hy uliyoambatanisha. Mfano nikiagiza, je kuna mafundi wazuri wa kubadilisha kwa Kariakoo au kwa unaemfaham unipe details zakeKama kioo ni Kizima na touch tu Ndio haifanyi kazi basi Unahitaji kubadili touch.
Na aliekwambia utafute used og ni wazo zuri, japo ni ngumu kupata kwa simu mpya kama hio Ila tafuta tafuta, maana touch za kkoo ni majanga,
Kitu kama hiki
Touch Screen Digitizer for Samsung Galaxy Note 10 Plus - Black
Buy replacement touch screen digitizer for your Samsung Galaxy Note 10 Plus Black with free shipping in all India.www.maxbhi.com
siku hizi vifaa vya kubadilishia vipo, nasikia (sijawahi kushuhudia) wapo wachina wanakuja na vifaa hivyo wanawacharge mafundi kubandua na kubandika.Maelezo yk yapo sahihi. Ndicho nachohitaji kto link hy uliyoambatanisha. Mfano nikiagiza, je kuna mafundi wazuri wa kubadilisha kwa Kariakoo au kwa unaemfaham unipe details zake
Nashukuru kwa ushauri. Ntaufanyia kazisiku hizi vifaa vya kubadilishia vipo, nasikia (sijawahi kushuhudia) wapo wachina wanakuja na vifaa hivyo wanawacharge mafundi kubandua na kubandika.
alternative ni kwenda samsung, simu yako haijafika miaka miwili ina maana ipo kwenye warranty bado hivyo kutakuwa na msaada fulani wakupe, hata kama hardware utanunua wakupe assistant ya kubadili.
Wapi hapo? Mtaa gani, barabara? MKoa gani?Pale palipokuwa nacrdb zamani kuna duka la cm hapo ni mafundi wa samsung
Wapi hapo? Mtaa gani, barabara? MKoa gani?
Du yani nimejisahau, mlimani city oposite na nbc bank kuna fundi mzuri nadhani anaitwa frankWapi hapo? Mtaa gani, barabara? MKoa gani?
Asante sanaDu yani nimejisahau, mlimani city oposite na nbc bank kuna fundi mzuri nadhani anaitwa frank
Online ni Around laki 5 complete,Hii simu ni majanga yangu imepasuka kabisa na nimedondosha nikiwa nimekaa tu, niliulizia Arusha nikaambiwa kioo complete ni 720,000 nadhan kwa Dar itakua rahisi au kama kuna mwenye kujua bei basi please share.
Ahsante sana @ChielfMkwawa
Bei ni hzhz tu kati ya 750k hadi 700k. Tatizo sio pesa bali inakuwa copy yk sio orijino. Kuna fundi nimempata kasema niweke oda kuna watu huja kuuza vioo vya simu zao km hizi kutokana na kuharibika na kuwa ngumu kutengeneza lkn bei zake huanzia 550k ukibahatisha ila kwa kawaida ni 650k uzuri kinakuwa kioo orijino. Anachofanya anakuunganisha na mwenye cm yenye kioo cha kuuzwa mkimalizana anakubadilishia.Hii simu ni majanga yangu imepasuka kabisa na nimedondosha nikiwa nimekaa tu, niliulizia Arusha nikaambiwa kioo complete ni 720,000 nadhan kwa Dar itakua rahisi au kama kuna mwenye kujua bei basi please share.
Ahsante sana @ChielfMkwawa
Hayo yote nilishafanya na mawasiliano na Samsung kwa hp Dar nilishaenda.Online ni Around laki 5 complete,
Ulinunua Samsung official? Jaribu kuangalia kama upo covered na warranty.
Ushaur wangu mm ww nunua simu nyingine ukithubutu kwrnda samsung customer care umekwisha wale jamaa kwanzq kioo hakina waranty pili hawabandui touch watataka ununue display nzima mwisho bei ya io display utakayotajiwa hapo lazima ukimbie sasa najiulizaga customer care wanauza accesories expensive kuliko maduka howHabari zenu!
Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi inakubali lakini kwa vidole haikubali.
Kuna mtu alinishauri nitafute used kuliko kuagiza akidai ntapata lkn kinakuwa ni copy sio genuine. Kwa anaefahamu bei yake inaweza kuwa sh ngapi na waoi naweza kupata.
Note: Simu inafanya kazi vizuri kabisa na hakuna hata alama labda ya wino au lolote kwenye kioo zaidi ya mipasuko midogo midogo ktk kona.
Chief-Mkwawa
Cc Mafundi simu
Nilikua na jibu huyo jamaa, wewe tafuta touch tu ambayo si ghali.Hayo yote nilishafanya na mawasiliano na Samsung kwa hp Dar nilishaenda.
750k,ina maana hapo Tecno za 150k unapata 5,na hicho ni kioo tu...Bei ni hzhz tu kati ya 750k hadi 700k. Tatizo sio pesa bali inakuwa copy yk sio orijino. Kuna fundi nimempata kasema niweke oda kuna watu huja kuuza vioo vya simu zao km hizi kutokana na kuharibika na kuwa ngumu kutengeneza lkn bei zake huanzia 550k ukibahatisha ila kwa kawaida ni 650k uzuri kinakuwa kioo orijino. Anachofanya anakuunganisha na mwenye cm yenye kioo cha kuuzwa mkimalizana anakubadilishia.
Habari zenu!
Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi inakubali lakini kwa vidole haikubali.
Kuna mtu alinishauri nitafute used kuliko kuagiza akidai ntapata lkn kinakuwa ni copy sio genuine. Kwa anaefahamu bei yake inaweza kuwa sh ngapi na waoi naweza kupata.
Note: Simu inafanya kazi vizuri kabisa na hakuna hata alama labda ya wino au lolote kwenye kioo zaidi ya mipasuko midogo midogo ktk kona.
Chief-Mkwawa
Cc Mafundi simu
Online ni Around laki 5 complete,
Ulinunua Samsung official? Jaribu kuangalia kama upo covered na warranty.