TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Heeee..............what next after utafiti?
mmh tumeingiliwa , some body help!!!
wtf!!!my fellows will let me know.you have it??by the way nina dili.u wana join??
Natafuta king'amuzi cha kuweza kutambua:
1.Tofauti ya ukabila na uraia.
2.Vyama vya siasa na vyama vya upinzani.
3.Mtuhumiwa na mkosaji.
4.Hali halisi na uzushi.
5.Rafiki na adui.
6.Kuropoka na kueleza.
Haya yanachanganya kidogo.
Ongeza:
7. Tuhuma na matusi
MODS, please take care of this rubbish..aghhhrr!!
Mzee unatafuta umaarufu au?
Sometime sielewi kwanini mods hapa wanakuwa wepesi kuhamisha mada muhimu huku mada za kilevi kama hii ikiendelea kujaza nafasi hapa.Huyu TandaleOne amekumbwa na mdadi wa ku-flood topic za ajabu ajabu,pengine kwa maelekezo ya waliomtuma ajiunge na JF,pengine ni attention seeker,au tunapotezwa malengo.
Invisible upo?
Tena hilo Na 7 ndiyo CCM wanascore zero kabisa!!!! Hawajui tofauti. Inasikitisha kweli kweli, mibaba mizima!!!!!!!!!!!!!!!!