Nahitaji king'amuzi used cha dish cha azam au startimes.

Nahitaji king'amuzi used cha dish cha azam au startimes.

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Ving'amuzi tajwa hapo juu navihitaji, viwe vizima bila tatizo lolote. Nipo dsm, nicheki 0714-408238.
 
Kama cha AZAM ni bora ukanunue dukani,mm nimenunua used huo mzunguko wake bora ninge enda tu dukani.
 
Kama cha AZAM ni bora ukanunue dukani,mm nimenunua used huo mzunguko wake bora ninge enda tu dukani.

hivi dish ndogo kabisa ya azam inapatikana wapi kwa dar na bei gani. maana dish ndogo za zuku ni tsh laki moja. msaada wakuu
 
hivi dish ndogo kabisa ya azam inapatikana wapi kwa dar na bei gani. maana dish ndogo za zuku ni tsh laki moja. msaada wakuu
Kidish kidogo ni elfu 35 na si laki
 
Mm nimeuziwa elfu 45,hapo bado ujamlipa fundi bora uende tu dukani..
 
wapi mkuu kwa dar na mimi nikanunue. ila sio dish pekee, ila mfumo mzima. (complete package).

Elfu 45 dish peke yake nili nunua kwa fundi tv, Kingamuzi cha Azam nilikuwa nacho ila bora ukanunue tu dukani..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom