Nahitaji king'amuzi cha star times

Nahitaji king'amuzi cha star times

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
Habari wakuu mwenye king'amuzi cha STAR TIMES aniuzie walau mwanagu awe anaangalia hata vikatuni. Bajeti yangu ni tshs.30,000/=. nipo dar es salaam. Mweneye nacho anitafute hapa 0715404808. ANGALIZO: KISIWE CHA WIZI
 
ah...kinatumika zaidi kwenye katuni cha kwangu ...
 
Fanya 45 nikupe changu na kimesajiliwa kwa jina langu.
 
mkuu makbeli kulaa 40
nichukue kesho
 
Mi nipe 40 nikupe ila nipo Tanga kunani
No. 0713422826 usipige uck
Ukitaka na antena yake itabidi utoe 50.
 
Mwenye digitek kwa 50k nahitaji fasta!! Ni PM kama unacho!!
 
Nenda makao makuu pale bagama na 100,000/ watakupa change 1000/ bila magumashi yoyote
 
Jamiiforums juuu hatimae mkuu MAKBEL kaniuzia kisimbuzi chake tena kinapiga mzigo mlemle
 
nilijua haujapata mm changu star times nimekifanyia makeke kinanyuka mpaka DSTV bei kilo3
 
kuna mtu bado anahitaji, kwa aliyenacho asisite kunipa taarifa.
 
Habar zenu wana jf,nauliza kig'amz cha star times ni sh ngap?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom