M masero nackso Member Joined Jul 9, 2013 Posts 50 Reaction score 1 Jul 13, 2013 #1 Namtafuta kijana wa kiume au wa kike kwa ajili ya kusaidia kazi ya kuuza dukani.duka lipo tarime mjini,mshahara mnono
Namtafuta kijana wa kiume au wa kike kwa ajili ya kusaidia kazi ya kuuza dukani.duka lipo tarime mjini,mshahara mnono
M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 482 Jul 15, 2013 #2 mshahara kiasi gani kwa mwezi, marupurupu mengineo kama lunch, nauli etc? nssf, bima ya afya??