Nahitaji kifaa cha music cha kisasa kabisa ila sikijui ni kipi. Naamini hapa wapo wanaojua, ambacho unaweza kuunganjsha kwa PC, simu na TV, pia inakubali all media player kama mp3 sijui mpeg zote, ukiweka CD, card, USB, nikiunga kwa simu inatafuna bila kubagua kuwa IPO mp3, 4, 8 yaani inatafuna tu haibagui na volume iwe inakupa aina zote unayotaka kama laini, Kali,.
Please msaada kwa watalaamu wa mambo haya.bajeti yangu ni 100Usd
Vipi mkuu umeshindwa kuielewa ni sh ngapi ikabidi kwanza uzame kwa kamusi.da pole sana ila zote ni majina ya hela so naweza ita nitakavyo hunipangii wewe najipangia mwenyewe.
Vipi mkuu umeshindwa kuielewa ni sh ngapi ikabidi kwanza uzame kwa kamusi.da pole sana ila zote ni majina ya hela so naweza ita nitakavyo hunipangii wewe najipangia mwenyewe.