Poleni wadau!Mimi ni kijana wa umri miaka 25,nimemaliza diploma ya ualimu lakini bahati mbaya nina Supplementary moja kwa hyo ninatarajia kuifanya mwakani,hivyo kipindi cha mwaka mzima nitakua nyumbani hivyo ninaombeni kama kuna mtu anashule au anafahamu shule inayoitaji mwalimu wa masomo ya Geography na History nipo vizuri,ningependa tuwasiliane kupitia namba 0713619176,
asanteni wandugu.