Nahitaji kazi/ajira

Nahitaji kazi/ajira

la fiesta

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Habari zenu wana jf, ninaomba msaada kwa aliye na nafasi ya kazi, mimi ni kijana wa kiume(21) elimu yangu ni kidato cha nne pia nina ujuzi wa computer applications nimesoma (ICDL) international computer driving licence pale UCC nipo dar ni PM please.
 
Back
Top Bottom